Vipimo vidogo - mapato makubwa
UWEZO ni pakiti za dawa za vipimo vidogo vilivyopimwa tayari zikiwa na kiasi tosha cha bomba moja la maji kuwezesha mapato makubwa kwako mkulima.
Bei yake pia ni nafuu kabisa. Kuna Actara Uwezo, Ridomil Uwezo, Karate Uwezo, Score Uwezo, Ortiva Uwezo, Dynamec Uwezo, Match Uwezo, DualGold, Apron Star na Quadris Uwezo.
Chukua hatua ndogo, lakini itakayokupatia mazao makubwa, matokeo mazuri kwa kilimo chako na kuinua maisha yako. Kama mbegu ndogo hupandwa na hatimaye ikawa mti mkubwa, hiyo ndiyo ahadi ya UWEZO.